KCPE Kiswahili Revision Paper With Answers
Soma vifungu vifuatavyo. Vina nafasi 1 mpaka 15. Kwa kila nafasi umepewa majibu manne. Chagua jibu moja lifaalo kati ya yale uliyopewa
Nyongeza ya …….1……….. ya kuegesha magari……….2……….jiji la Nairobi ni sawa kabisa. Hata kama kuna uwezekano wa kuongezwa zaidi, basi nitafurahia sana. Hatua hii itasidia kutatua shida ya ………..3…….. wa magari kuingia jijini. Nawashauri magavana …………4……… kaunti nyingine …….5……. wafuate …………6………. za Gavana wa Nairobi ili kutoa suluhisho …………7…….. kaunti zao
A | B | C | D | |
1 | ada | kiingilio | fola | nauli |
2 | katikati mwa | katikato ya | katikati pa | katikati kwa |
3 | safi | mzengwe | msongamano | mlolongo |
4 | zote | yote | kote | wote |
5 | arubaine na sita | arubaine na saba | arubaine | thelathini na saba |
6 | unyayo | nyayo | mkondo | mfano |
7 | kwa | ndani | katika | katikati |
Find: Kiswahili Insha Examples
Kutoka swali la 8 hadi 22, chagua jibu lililo sahii
8. Chagua kielezi katika sentensi ifuatayo
Tulivuka msitu na nyika lakini hatukumpata
A)Lakini B) Msitu wa nyika C) Htumumpata D) Tulitembea
9. Ni sentensi ipi ambayo imetumia ‘kwa’ kuonesha misemo
A) Mbili kwa tatu
B) Alienda nyumbani moja kwa moja
C) Arusi ilihudhuliwa na wasichana kwa wavulana
D) Timu ya Arsenali iliwafunga Newscastle bao noja kwa sufuri
10. Chagua usemi taarifa wa:
‘Mjitayarishe tuondoke kesho’ baba alisema
A)Baba alituambia tujitayarishe tuondoke kesho
B) Baba anatuambia tujitayarishe tuondoke siku iliyofuata
C) Mjitayarishe tutaondoka siku inayofuata
D) Baba alituambia tujitayarishe tuondoke siku iliyofuata
11. Chagua wingi wa :
Ninaipenda nyama ya bata kuliko ya kuku
A)Wanazipenda nyama za bata kiliko za kuku
B) Mnazipenda nyama za mabata kuziliko za kuku
C) Tunaipenda nyama ya bata kiliko ya kuku
D) Tunazipenda nyama za mabata kuliko za kuku
12.Tegua kitendawili
Naenda na mwenzangu narudi peke yangu
A) Umande B) Kivuli C) Chawa D) Kifo
13. Chagua jibu ambalo lina vihisishi pekee
A)kidogo, raha mustarehe, baadaye, zaidi
B) kwa,ni,katika,hadi
C) kumbe!, ole wangu!, Allah akbar! Ajabu!
D) –enye, -ingine, wa, tano
14. Andika kwa wingi
Mtoto anaruka
A) Watoto wanaruka
B) Watoto waliruka
C) Watoto wataruka
D) Watoto wameruka
15. Chagua senteni ambayo ina matumizi ya kiambishi ‘ki’ cha wakati uliopita hali ya kuendelea
A) Aliniamkua alipokuwa akipita kijijini
B) Mjomba wangu hupenda kuvaa kizamani
C) Akisoma atafaulu kama kifungua mimba wao
D) Mwalimu akinipongeza nitafurahia mno
Read: Methali za Kiswahili
16. Neno gani amalo lina silabi tatu
A) Mkwajuni B) Mti C) Mkate D)Karatasini
17. Rafiki wa kike wa mwanaume huitwa
A) Umbu B) Babu C) Somo D) Shoga
18. Buda ni kwa ajuza,…………………. Nikwa ghulamu
A) Kapera B) Banati C) Bin D) Mseja
19. Sayari iliyo na pete ni:
A) Zohali B) Zaibaki C) Mshatarii D) Zuhura
20. ………………….. ni kwa sebuleni na toroli ni viwandani
A) Parafujo B) Takia C) Kinoo D) Kibago
21. Chagua methali ambayo haiafikiani na maelezo yafuatayo
‘Inatumiwa kwa mtu ambaye amefanya jambo baya kwa maksudi kisha likaishia
kumletea madhara’
A) Fimbo wa maskini mlifi ni Mungu
B) Mwiba wa kujichoma hauambiwi pole
C) Mwenya tumbo ni tumbole angafunga mkaja
D) Mwenye pupa hadiriki kula tamu
22. Ukubwa wa sentensi
Kiatu kidogo kimenunuliwa , ni:
A) Jiatu dogo limenunuliwa
B) Viatu vidogo vimenunuliwa
C) Jikiatu dogo limenunuliwa
D) Kijiatu kidogo kimenunuliwa
Download: Free 2021 KCPE English Past Papers with Answers
KCPE Kiswahili answers
1 A 18 B
2 B 19 C
3 C 20 B
4 D 21 D
5 A 22 A
6 B
7 C
8 B
9 B
10 D
11 D
12 C
13 C
14 A
15 A
16 C
17 D
Betty is a qualified teacher with a Bachelor of Education (Arts). In addition, she is a registered Certified Public Accountant. She has been teaching and offering part-time accounting services for the last 10 years. She is passionate about education, accounting, writing, and traveling.